Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WEREMA ANAWEZA KUJIUZULU MDA WOWOTE KUTOKA SASA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Dakika hii kikao cha baraza la mawaziri kinaendelea ndani jengo la bunge, Kikiwa bado kinaendelea tayari imeamuriwa kuwa Mwanasheria mkuu Jaji Werema ajiuzulu mara moja ili kunusuru serikali isianguke, Ndani ya saa 12 kuanzia sasa Werema atajiuzulu.

Watanzania tupinge uhuni huu, tatizo letu sio Werema bali wezi wote mkondo wa sheria ushike na fasi yake na watu wawajibike maramoja na pesa irudishwe.


Kikao kimearishwa Werema katia ngumu kuachiia ofisi, Kikao kitaendelea baadae, sasa anasakwa mwingine abebe aibu ya serikali.


Katika kikao hicho, baraza la mawaziri lililokutana ghafla chini ya waziri mkuu Mizengo Pinda limekumbwa na mtafaruku mkubwa kutokana na kashfa ya IPTL inayofukuta kwa kasi.

Katika kikao hicho mawaziri wamewalazimisha mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrik Werema na katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini bwana Eliakim Maswi kuachia ngazi kwa uzembe, huku Prof.Tibaijuka akitakiwa kuwajibika kwa kukiri hadharani kuwa alipokea shilingi bilioni moja za kitanzania kutoka kwa mbia wa IPTL.

Hii imelazimishwa ili kulinusuru baraza zima la mawaziri pamoja na Pinda ili kuufanikisha mpango wa ripoti hiyo kuzuiwa isifike bungeni kujadiliwa. Aidha hali hiyo imesababisha hisia kali miongoni mwa mawaziri ambapo naibu waziri Godfrey Zambi pamoja na Werema walitoleana maneno makali nusura kukunjana!

Pia taarifa za ndani zinasema kuwa tayari Prof. Tibaijuka amekubali kuwajibika huku wengine wakitia ngumu! Kamati ya Uongozi ya Bunge imekubali Ripoti ya IPTL yenye sakata ya fedha za Escrow kuwasilishwa bungeni siku ya Jumatatu mara baada ya kipindi cha maswali kuisha.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge PAC Mheshimiwa Deo Filikunjombe ndiye atakayesoma ripoti hiyo.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top