Katika hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa imamu wa msikiti wa Kisesa uliopo wilayani Magu, mkoani Mwanza, bwana Salum Yusuph, amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali sana baada ya kumkamata kiongozi huyo pindi pale alipokuwa ameiba nguruwe huyo.
Baada ya kumkamata kiongozi huyo walimpeleka kwenye kituo cha polisi ili kuweza kumfungulia kesi juu ya tukio hilo.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.