Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ISHU YA ESCROW YAZUA SURA MPYA BUNGENI DODOMA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ikiwa leo ni siku ya tarehe 20/11/2014 katika mkutano wa 16/17 ikiwa ni kikao cha 13 cha bunge kutoka dodoma. Katika ratiba ya leo bunge lilianzia kwenye kipindi cha maswali na majibu kwa waziri mkuu, kisha ikafuata kipindi cha maswali ya kawaidana mwisho ilikuwa ni kipindi cha mwongozo wa spika wa bunge.


Hapa katika kipindi cha mwongozo wa spika wa bunge ndipo uvumilivu ukawashinda baadhi ya wabunge kulinyamazia suara la kashfa ya akaunt ya Tegeta Escrow. Katika sakata hili utaweza kuwasikiliza wabunge kama Mhe. Kafurila, mhe. Bray, mhe.Machali, mhe.Mbatia na mhe.Sanga pamoja na wengineo wengi. Ishu nzima ilikuwa hivi => Bofya hapa kuwasikiliza 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top