Wanaume nchini Kenya wamekuwa wakilalamika kwamba wanabanwa na kunyanyaswa na jamii. Wanasema wanawake sasa wanaopewa kipa umbele hasa katika matumizi ya rasilimali, na kwamba hata dhuluma za kinyumbani dhidi ya wanaume pia zimezidi.
Wiki hii chama cha kutetea maslahi ya wanaume Kenya maarufu kama "Maendeleo ya Wanaume" kimeitisha mgomo wa aina yake, kuwataka wanaume wasusie ngono katika kupaza sauti dhidi ya dhulma zinzowakumba.
Sasa Je, ni ukweli kwamba nafasi ya mwanaume katika jamii imebanwa?
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.