Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UCHAMBUZI WA BIG RESULT NOW KUTOKA KWA WADAU LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Uchambuzi wa Big Result Now kutoka kwa wadau leo. Unajua maana ya neno hili la  "BIG RESULTS NOW"?? kama unajua au ulikuwa haujui basi.


Fuatilia matokeo haya ya kidato cha sita mwaka huu ndipo utapata maana nzuri zaidi. Division zero mwaka jana zilikuwa ni 2604, mwaka huu ni 612. Tofauti ya watu 1992, ambayo ni sawa na asilimia 325%. Division one, mwaka jana zilikuwa ni 325, mwaka huu 4,365. Tofauti 4040, sawa na asilimia 1243%.

Haya ni maajabu ya karne. Walitanua ukubwa wa goli ili iwe rahisi kufunga... Kutoka zero zaidi ya 2000 mwaka jana hadi zero 600 tu mwaka huu. Kutoka div.one 300 tu mwaka jana hadi one zaidi ya 4,000 mwaka huu.

Hivi waalimu walewale wa shule zilezile zilizotoa one 300 mwaka jana ndo wametoa one 4,000 mwaka huu?? Changamoto zao zimetatuliwa? Maabara zimejengwa? Vitabu vimeongezwa? Madai ya walimu yamelipwa? 

Waalimu wa somo la Kiswahili wameacha kufundisha somo la Hesabu kutokana na ukosefu wa waalimu wa somo hili la hesabu? Kama changamoto hizo zote hazijatatuliwa mabadiliko haya ya ghafla kutoka div.one 300 hadi div.one zaidi ya 4,000 yametoka wapi? 

Kweli tumeamua kutanua goli tufunge kirahisi. Karibu Tanzania, hii ndiyo "BRN" a.k.a big result now. Wanasema BRN means Big Results Now, mimi namwambia Waziri Kawambwa BRN, yani he should be "Better Resign Now" maana watoto wetu wanapata BRN = Brain Receive Nothing.!!
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top