Kweli nimeamini kuwa kifo waga hakina baunsa. Jamani siyo kwamba ni utani, ila nimekumbuka nikacheka sana.
Ivi unawakumbuka wale madaktari sita watanzania ambao waliombwa na shilika la WHO kwenda Sierra Leone kutibu wagonjwa wanaoumwa ugonjwa wa Ebola?
Pia waliambiwa kuwa watalipwa Tsh. 2millions kwa kila siku, ambao majina yao nikama ifuatavyo hapo chini:
1. Dr. Esta Kokugasha Mukasa - kakataa
2. Dr. Makame Seif Makame - kakataa
3. Dr. Masanja - kakataa
4. Dr. Rutabanzibwa - kakataa
5. Dr. Ngonyani - kakataa
6. Dr. Lyimo - Kakubali kwenda.
Je unafikili kwanini madaktari watano wote walikataa kwenda na matokeo yake akakubali daktari mmoja tu, wakati mshahala wao ni mzuri? Nini maoni yako juu ya habari hii.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.