Mapenzi ya kweli ndio siraha ya maisha ya mwanadamu. Hakuna kinachoweza kujificha hapa chini ya jua kama kweli kuna mapenzi ya kweli.
Kwa nini tunasinzia makanisani wakati kwenye mahaba tunakesha? Kwanini imekuwa vigumu kuzungumzia habari za Mungu, lakini ni rahisi kuzungumzia watu wengine? {umbea}, Kwanini imekuwa vigumu kutuma message za kumtukuza Mungu lakini mnatumiana message za kumdhihaki Mungu?
Je, habari hii utaisambaza kwa marafiki zako au utaipotezea? Kumbuka YESU aliwai kusema kwamba, ukinikana mbele ya marafiki zako, nami nitakukana mbele ya baba yangu!! kama kweli unampenda YESU share habari hii kwa marafiki zako wote na Mungu atakujibu.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.