Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MTOTO ACHUNWA NGOZI KISHA KUTUPWA KWENYE NYUMBA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mtoto wa miaka saba aliyepotea siku nne akutwa amekufa katika nyumba ambayo haijaisha katika maeneo ya Majohe kwa Mkandawile. 


Inadaiwa kuna mtu alimchukua akamnunulie pipi kwanzia hapo hajaonekana mpaka leo saa tatu asubuhi alipoonekana katika nyumba ambayo haijaisha akiwa amelazwa na kufunikwa na matofali sehemu yote ya mwili na kubakia kichwa tu.

amechunwa ngozi na kutolewa vitu vyote vya ndani. picha zinatisha sana na ndio maana hazijawekwa hapa. Mwili umechukuliwa na polisi baada ya mzazi wa mtoto kumtambua mwanae. 
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    


In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top