MADHARA YA UGONJWA WA UKIMWI KATIKA JAMII ZETU ZA KITANZANIA
Yanamgusa kila mwanajamii, hivyo sote kwa pamoja tuungane kuukabili ugonjwa huu. Tuwapende na kuwahudumia wanaoishi na virusi vya ukimwi bila kuwanyanyapaa.
Pia hatukatazi watu msifanye mapenzi na wapenzi wenu, ila pindi mnapotaka kufanya hayo mapenzi jaribuni kutumia kinga kama kondom ambayo ni moja ya kinga yenye kukukinga na maambukizi ya magonjwa mengi ikiwemo ugonjwa hatari wa Ukimwi.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.