Jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam tayari imewashikilia watu 13 katika uchunguzi wa awali kuhusu matukio ya uporaji fedha katika taasisi za fedha ambayo ni mabenki hivi karibuni hapa jijini dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam,kamishna wa polisi kanda maalum ya dar es salaam suleman kova,akijibu swali la itv iliyotaka kujua katika uchunguzi wao wa awali nini jeshi la polisi limegundua kuhusu mfululizo wa matukio ya wizi wa fedha zilizotokea hivi karibuni katika baadhi ya mabenki hapa jijini.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.