Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

CLUB YA WATOTO MIAKA 6 HADI 12 YAFUNGULIWA NEW YORK

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 ilifunguliwa rasmi katika mji wa New York wilaya ya meatpacking nchini Marekani. Mgahawa huo unaomilikiwa na kampuni ya Cirkiz utakuwa ukifunguliwa mara moja kila mwezi kuwapa watoto fursa ya kujivinjari mbali na vifaa vya kiteknolojia vilivyomo majumbani mwao.

Laura lampart aliyekuwa ameandamana na mwanawe alisema kuwa kilabu hiyo ina manufaa kwani watoto walijihisi kama watu wazima na hakukuwa na tatizo la kuhofia usalama kwani Mgahawa wenyewe unafunguliwa wakati wa mchana.
Kati ya vinavyojumuishwa ni wanadensi ambao ni watoto wanaowatumbuiza wenzao na pia ma Dijei ambao pia ni watoto.

Zaidi ya watu 300 wakiwemo wazazi na watoto walihudhuria ufunguzi huo.
Mtindo huo umepata umaarufu katika miji miingine kama vile South Korea,Berlin na Los Angeles.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top