Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WAKAZI WA KIJIJI CHA MKOKA WAGOMA KUPIGA KURA YA MAONI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Wakazi wa kitongoji cha Mgunga kijiji cha Mkoka jana wamekataa kupiga kura za maoni kuwa chaguwa viongozi wa CCM yaani mwenyekiti wa kijiji na mwenyekiti wa kitongoji pamoja na wajumbe wa halmashauli ya kijiji kwa madai ya kwamba wao wanataka Mgunga ipewe kitongoji chao na wachague mwenyekiti wao wa kitongoji hawataki kukiita kitongoji cha mlowa, 


baada ya kuona hali imebadilika ndipo viongozi wa CCM Walipoamuwa kuondoka bila kupigiwa kura za maoni kama kitongoji hicho wamekataa, basi uchaguzi hauwezi kuendelea lakini wao CCM jana waliendelea na uchaguzi katika tawi la mlowa, na siku ya leo wapo katika tawi la cargo wakiendeleza uchaguzi wao.

Je nini maoni yako juu ya uchaguzi huu??

  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top