Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TRENI LAPINDUKA MAENEO YA VINGUNGUTI DAR ES SALAAM

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Gari moshi(treni) limeacha njia yake na kuanguka kuhu likiwa limebeba mabehewa Vingunguti jijini Dar es Salaam.
 
Taarifa zina bainisha kuwa njia hiyo ya Treni ni mbaya kwa kuchimbika chimbika nahivyo kusababisha mkwamo kwenye treni hiyo na hivyo kulazimika kuanguka huku tairi zake kuchomoka na kila moja kuwa upande wake.
 
Katika msemo wa kufa kufaana panapo tokea ajali,iliweza kuwalazimu askari wa kutuliza ghasia kufika mara moja eneo hilo la vingunguti kwa lengo lakuweka ulinzi dhidi ya wanaoweza kutia hasara kwa kuondoka na bhaadhi ya vyuma kwenye treni hiyo.
 
Mashuhuda wa walioshuhudia ajali wanasema kuwa njia ya treni hiyo si salama sana,na hivyo njia kupelekea hadi kuanguka na wataalamu wanasema Pin Lock ndio iliyo sababisha pia kuweza kushindwa treni kukaa kwenye njia yake baada ya kukatika. Haijafahamika Mabehewa yalikuwa na nini ndani yake.

  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top