Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SHEREHE YA MWAKA MPYA WA 1436 WA WAISLAM NA UJUMBE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Waislamu nchini sambamba na watanzania wote kwa ujumla wametakiwa kuwa na Amani mshikamano na upendo na hatimaye kulaani vikali vitendo vya mauaji na vita vinavyoendelea kufanyika katika nchi mbali mbali Duniani kote.


Kauli hiyo imetolewa na Viongozi wa kiislamu wakati wa muendelezo wa kusherehekea mwaka mpya wa kiislam wa 1436 Hijiria,baada kukamilika kwa hafla ya ibada pamoja na kumbukumbu ya maadhimisho ya mwaka mpya wa kiislamu kwa kuadhimisha kwa vitendo kumbukukbu mbalimbali ya vionmgozi wa dini ya kiislamu.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top