Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HATIMAYE KITUO CHA DALADALA ZA UBUNGO KUHAMISHWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
KUHAMISHIA DALADALA KITUO CHA  SIMU 2000
(NYUMA YA MAWASILIANO TOWERS) NI KUANZIA ALHAMIS YA TAREHE 23.10.2014

Baada ya kituo cha SIMU 2000 kukamilika Sumatra kwa kushirikiana na Manispaa ya Kinondoni na Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Kinondoni tumekubaliana kufungua kituo hiki tarehe 23.10.2014 asubuhi kwa daladala ambazo zilikuwa zinaishia au kuanza safari katika kituo cha daladala Ubungo.


 Kila dereva anatakiwa kufuata utaratibu  ulioelekezwa hapa chini ili kuondoa usumbufu usio na tija.

  1. DALADALA ZINAZOTOKA MASAKI
zikifika barabara ya Shekilango zitaingia  kulia kwa kutumia barabara ya Tanesco inayokwenda moja kwa moja kituonisimu 2000 na zitarudi barabara ya Shekilango kwa kutumia  njia hiyo hiyo ya Tanesco.

  1. DALADALA ZINAZOTOKA KARIAKOO, POSTA NA kivukoni  zikifika mataa ya Ubungo zitaingia kulia (barabara ya Sam Nujoma) kwenda kituoni simu 2000, zitarejea zilikotoka kwa kutumia barabara hiyo hiyo

  1. DALADALA ZINAZOTOKEA BARABARA YA MANDELA
zitavuka mataa ya Ubungo (kwa kutumia barabara ya Sam Nujuma) na kwenda kituoni Simu 2000, zitarejea zilikotoka kwa kutumia barabara hiyo hiyo.

4. DALADALA ZINAZOTOKEA MWENGE
zikikaribia jengo la  Mawasiliano Towers zitachepukia kushoto kwa kutumia service road inayopita mbele ya Mawasiliano Towers  hadi kituoni simu 2000, zitarejea zilikotoka kwa kutumia barabara ya Sam Nujoma (sio servive road).

5DALADALA ZINAZOTOKEA KIMARA NA MBEZI
zikifika mataa ya Ubungo zitaingia kulia kwenda kituoni simu 2000. zitarejea zilikotoka kwa kutumia barabara hiyo hiyo.



Conrad Shio
Afisa Mfawidhi Sumatra –DSM
0755 660 016
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top