Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

STYLE MPYA YA WIZI YAZUKA DAR ES SALAAM KUWENI MAKINI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kuna watu watatu au wanne na zaidi wanapita majumbani wakidai wanatoka  kampuni ya maji wamekuja kuweka bomba ya mvua ili kuokoa upotevu wa maji au watadai wanatoka Eskom au sehemu kama hizo wanabadilisha  balbu bure.

Wameonekana sehemu nyingi katika maeneo tofauti tofauti ya jiji la Dar es salaam, usiwaruhusu kuingia ndani ya nyumba yako kwani ni wezi au kwa lugha nyingine ni majambazi wa kutumia bunduki.

Chukua mda wako kuwataarifu ndugu jamaa na marafiki zako wote juu ya habari hii kwani unaweza kuokoa maisha yao.

Hakikisha milango pamoja na madirisha ya nyumba yako umefunga vyema na usiwaruhusu watoto kuwafungulia nyumba wageni wasiowajua, tafadhali kumbuka kusambaza ujumbe huu sasa ili tuweze kujikinga na wimbi la wizi huu wa aina yake.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top