Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

DAWA BANDIA ZAKAMATWA ENEO LA MAMBIBO JIJINI DAR LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Shirika la chakula na dawa nchini Tanzania TFDA, limefanikiwa kukamata baadhi ya dawa ambazo zimekwisha muda wake katika nyumba ya raia mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Bw.Robert Mchome mkazi wa Mabibo Ubungo jijini Dar es salaam.

Katika dawa zilizokamatwa nipamoja na dawa za uzazi wa mpango, dawa za kuongeza nguvu za kiume,pamoja na dawa za ant-biotics, inasadikika kuwa dawa hizo zilikuwa katika hatua za mwisho wa maandalizi kwa ajili ya kuanza kuzisambaza kwenye maduka madogo madogo yadawa.

Pia bw. Robert Mchome alijitetea kuwa dawa zile zilikuwa niza mdogowake ambaye alikuwa na duka la dawa kabla ya kufariki, kwaiyo alikuwa akisubili kumaliza pilikapilika za msiba wa mdogo wake kisha akaende kuziteketeza dawa hizo.
Tukio hili lilitokea siku ya juzi mchana, ambapo kati ya dawa hizo zingine zilikuwa zimefungwa kwenye makasha ambayo si maali pake, mfano dawa ya panadol imefungwa kwenye kasha la dawa nyingine, jambo ambalo limezua hofu kwa wakazi wa maeneo hayo na maeneo mengine kwa ujumla.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top