Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MOTO WATEKETEZA BAA NA GEST UKO JETI MWISHO WA LAMI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Habari za ivi punde zinasema kwamba moto umeteketeza baa na gest ambayo inafaamika kwa jina la IKIZU ambayo inapatikana katika eneo la Jeti mwisho wa lami.

Chanzo cha tukio hilo ni shoti ya umeme, ambapo baada ya shoti hiyo kutokea ndipo baa na gest hizo kuanza kuungua, ambapo hakuna kitu kilichoweza kuokolewa, na pia jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba hakuna mtu aliye umia kwenye tukio hilo.

Gari la Polisi liliwahi kufika katika eneo la tukio, likifuatiwa na gari la kampuni ya Tanesco lakini walishindwa kufanikisha kazi yao ya uokoaji wa mali kutokana na ukosefu wa vitendeakazi vya kuzimia moto hule, ambapo gari la kuzima moto la Fire lilifika kwenye eneo la tukio wakati nyumba yote imekwisha teketea kabisa.

Kwa hisani ya Jerome Haure.
   


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top