Featured

    Featured Posts

Loading...

VIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA NJE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
VIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA NJE

Wakati mwanamke anapobana ‘staftahi’ kwa mwenzake, huhesabika ni mchoyo! Kwa mwanaume yeye huonekana ni goigoi. Kwamba mambo hayawezi ndiyo maana hatekelezi shughuli.

Kuna watu wengi ambao hupenda kujisifu kuwa wao hutoa unyumba kwa kibaba, yaani huwabania wenzi wao, ila kwa mitazamo yao hujiona wako sahihi kabisa, tabia yanamna hii wanayo sana wenzetu akina mama na akina dada. japo pia kwa upande mwingine wapo wanaume ambaonao hawawezi kutekeleza mahitaji ya wapenzi wao.Ataambiwa ana tatizo la zile nguvu zetu! Mwanamke anaweza kujisifu hata kwa wenzake. Akiwa kwenye vikao vya kusukana au katika soga nyingine, atajimwagia sifa tele kwamba yeye inaweza kupita miezi bila kuingia uwanjani na mwenzi wake.

Hili, linawafanya wanaume wengi wateseke na matokeo yake hutafuta tiba mbadala. Mwanaume hawezi kujisifu kwa marafiki zake kuwa yeye huwa akisumbuliwa na mwenzi wake, humpa mgongo! Ni wazi akisema hivyo atachekwa.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top