Featured

    Featured Posts

Loading...

MVUMONI SEC YAPOKEA MSAADA WA MADAWATI 60 LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Dr.Willibrod Slaa leo amekabidhi Madawati 60 kwa Shule ya Mvumoni Seminary iliyoko Msikiti wa Mtambani Kinondoni. 

Msaada huu ni kutimiza ahadi aliyoitoa Dr. Wilbrod Slaa Katibu Mkuu wa chadema kwa niaba ya chama alipotembelea msikiti huo kutoa pole za Chama kutokana na ajali ya moto iliyoteketeza mali mbalimbali pamoja na madawati 60 ambayo yalikuwa yakitumika na wanafunzi wa kidato cha nne msikitini hapo.


Msikiti wa mtambani ulipata ajali ya moto siku kadhaa zilizopita na kusababisha hasara kubwa lakini cha muhimu ilikuwa ni kuwawezesha wanafunzi wa kitado cha nne msikitini hapo, ambao tayari wameanza mitihani jana na madawati yameletwa tayari. Asante sana dr slaa kwa msaada wako uliotoa, maana ukimsaidia mwanafunzi unakuwa umesaidia taifa la kesho.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top