Featured

    Featured Posts

Loading...

HII NDIO VUNJA MBAVU YA SIKU YA LEO, SOMA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kijana mmoja alifungwa jela miaka saba, baada ya miaka miwili baba yake akamwandikia barua ikiwa imebeba ujumbe kama ifuatavyo:

mpendwa mwanangu, umeniacha katika maisha magumu ya maradhi pamoja na umasikini, bora ungekuwepo ungenisaidia kulima shamba. Mtoto naye akajibu ile barua kwa kusema maneno yafuatayo:


tafadhali baba usithubutu kulima hilo shamba maana pesa zote nilizoiba nimezificha huko shamba, kwakua barua zote zilikuwa zikisomwa na polisi, basi kesho yake baba kuamka asubuhi kakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba mpaka wamemaliza hawakupata hata senti tano. Baada ya hapo Mtoto akamwandikia baba yake barua akisema ivi: 

Natumaini msaada wangu umeufurahia, sasa unaweza kupanda mahindi. Tena akamaliza kwa mumwambia baba yake kuwa Mjini akili, nguvu ni huko kijijini.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top