Featured

    Featured Posts

Loading...

TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA VITENDO VYA WIZI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Napenda kuchukua nafasi hii kulishukuru sana jeshi la pilisi nchini Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanya, maana hatuwezi kuendelea kulea wezi wakati wahusika wapo.

Tena nawaombeni pia ata nyie wananchi wa kawaida kwamba tushirikiane kwa pamoja kuakikisha tunatokomeza majanga haya hasa ya wizi wa vitu mbalimbali katika maeneo tunamoishi.

Pichani hapo juu ni moja ya vijana wenyekujihusisha na matukio ya wizi, akiwa mikononi mwa polisi akipewa dawa ili atulie kwanza kisha hatua za kisheria ndo zifuate mkondo wake.

=======================================================

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top