Featured

    Featured Posts

Loading...

KABURI LA FUKULIWA KIJIJI CHA MANDAKA WILAYA YA MOSHI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

 Mahakama imeamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mke mdogo katika kijiji cha Mandaka Wilaya ya Moshi Vijijini.

 Askali akiwa yuko kwenye usimamizi wa uchimbaji wa kaburi hilo la mume wa marehemu.


Hii ndio msalaba wa marehemu, ukiwa umewekwa pembezoni mwa kaburi sasa.

Tafadhari usikae mbali nami, maana nikotayari kukujuza chochote kile kitakachojiri juu ya tukio hili.

=======================================================

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top