Featured

    Featured Posts

Loading...

POMBE HARAMU YASABISHA VIFO VYA WATU WATANO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Jana asubuhi,wenyeji wa eneo la duka moja katik a account ya Narok kusini waliamkia taarifa ya kusikitisha sana, ambapo watu watano akiwemo mwanamke mmoja wamepoteza maisha yao, baada ya kunywa pombe haramu.

Jambo hilo liliwafanya wanachi kuamua kufunga barabara inayotoka eneo la Narok kuelekea Mimayu na kusababisha msongamano wa magari kwa masaa kadhaa kwenye barabara hiyo yenye kutumiwa na watu wengi, jambo kubwa ndani ya tukio hili nikwamba wananchi wametupia rawama zao kwenye jeshi la polisi, ambapo wanadai kuwa polisi ndio wamekuwa chanzo cha vifo hivyo maana inaonesha wazi kwamba polisi wanashilikiana na wauzaji pombe haramu hizo.

Sikiliza maoni ya wananchi wa eneo hili la Narok waliyo yatoa hapo chini juu ya tukio hili kwenye link ifuatayo.


Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top