Featured

    Featured Posts

Loading...

NINI MAONI YAKO JUU YA UKAGUZI WA MASHINE ZA EFD?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.


Ukaguzi wa mashine za EFD umepelekea Wamiliki wa maduka ya bidhaa mbalimbali Kariakoo jijini Dar es salaam kufunga maduka hayo, waliamua kuyafunga maduka yao kwa kinachodaiwa kuhofia ukaguzi wa mashine za EFD yaani(Electronic Fiscal Divices) na mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA), jambo hili lilisababisha mgomo huo kuanza siku chache zilizopita ambapo wengi wa wafanya biashara hao walianza mgomo tarehe 1/9/2014.


Inasemekana kuwa endapo ukaguzi huo ukifanywa na mamlaka ya mapato nchini Tanzania TRA na kukuta mashine hizo zimechezewa, mfanyabiashara husika hurazimika kupigwa faini na mamlaka husika yaani TRA. Hivyo hicho ndicho kilicho wafanya baadhi ya wamiliki wa maduka hayo kuyafunga. 

Je una maoni gani juu ya ukaguzi wa mashine hizi za EFD na TRA??

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top