Featured

    Featured Posts

Loading...

PICHA ZA TUKIO LA MAZISHI YA MAREHEMU JANUARY EDGER

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Jeneza la mwili wa marehemu likiwa limebebwa kuelekezwa makaburini kwa ajiri ya kumpumzisha marehemu January Edger huko mkoani Mtwara.


Ndugu jamaa na marafiki wakiweka maua na mishumaa kwenye kaburi la marehemu Januaru Edger.

Enzi za uhai wake bwana January Edger. Akiwa moja ya sehemu ya kazi yake ndani ya Uchumi Supermakert Tanzania.


Ngudu wakiwa wanajaza udongo kaburini baada ya jeneza kuwekwa ndani ya kaburi hapo jana.

Hawa ni baadhi ya wafanya kazi wenzake, walio kwenda kwenye mazishi ya ndugu January Edger. Mungu ailaze pema roho ya marehemu milele Amen.

=======================================================Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top