Featured

    Featured Posts

Loading...

WAKAZI WA BAGAMOYO WAPINGA KUJENGEWA NYUMBA ZAO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
 WAKAZI WA BAGAMOYO WAPINGA KUJENGEWA NYUMBA WATAKA PESA TU!

Wakazi wa Bagamoyo wamepinga kujengewa nyumba badala ya kulipwa fidia zao. Tukio hilo limejitokeza baada ya mhe.rais Kikwete kuwaomba wakazi hao kuwa badala ya kulipwa pesa kama fidia zao za kupisha ujenzi wa bandari ya bagamoyo, kwaiyo ndipo aliamua kusema ni bora raia hao wajengewe nyumba zakudumu kabisa.

Wasikilize wananchi hao kile walichokisema waziwazi juu ya sakata hili hapa kwenye link ifuatayo.


=======================================================Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top