Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa ni kubwa zaidi ya abiria duniani na inayofanya safari zake kwa kutumia umbali mrefu zaidi.
Ndege hiyo iliyotajwa kwa usajiri wa Airbus A380 ilitua katika uwanja wa kimataifa wa Dallas-Fort Worth ikiwa ni saa 15 tangu ilipo ruka kutoka uwanja wa Sydney, mjini Australia, safari ambayo imetumia Kilometer 13.805 huku ndege hiyo ikiwa imebeba abiria 480
Uwanja wa kimataifa wa kimataifa wa Dallas-Fort Worth ni moja ya viwanja vikubwa sana duniani ambacho kinaunganisha ndege zote za Marekani na Latin America.
Hivyo uwanja huo umeonekana kufaa zaidi kwa ndege hiyo.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO >> MUSIC MPYA