Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ZIFAHAMU RANGI ZA MKOJO WAKO NA MAANA ZAKE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
ZIFAHAMU RANGI ZA MKOJO WAKO NA MAANA ZAKE KIAFYA
Zifuatazo ni rangi ambazo zinaweza kupatikana kwenye mkojo wako

1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):

Unakunywa maji mengi kupita kiasi. Ikiwezekana unashauriwa upunguze kidogo

2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo: 
               Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha.

3. Manjano iliyo pauka:

                    Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha


4. Njano iliyo kolea:

             Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha.


5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:

Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sana sasa.


6. Rangi ya Kahawia:

Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kama hali hii ikiendelea kujitokeza.


7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:

Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.

Kama unadhani Dondoo hii ni Muhimu,  “SHARE” ili kuwajuza na wenzako.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Kwa hisani ya Maisha ni habari na elimu
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top