Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAMA 1 AJINYONGA KISA ETI ANA SARATANI YA KIZAZI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkazi mmoja wa mtaa wa shule katika manispaa ya Tabora Bi.karolina kizumbwa mwenye umli wa miaka 28 amejinyonga nyumbani kwake kwa kutumia mtandio wake siku chahe baada ya kugundulika kuwa ana saratani ya kizazi.
Picha kutoka Maktaba.

mwana mama huyu alikutwa na umauti baada ya mme wake ambaye ametambulika kwa jina la Rogers Kipinga kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya Kitete ili kupima ili kujua ni tatizo gani ambalo lilikuwa likimsumbua marehemu huyu.

Msikilize mme wake pamoja na mtoto wa marehemu Bi. Karolina wakielezea jinsi tukio lilivyo kuwa, bofya kwenye link ifuatayo hapo chini kuwasikiliza.


Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top