Featured

    Featured Posts

Loading...

KUWENI MAKINI SANA NA NGUO ZA MITUMBA NI HATARI SANA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ivi majuzi imeripotiwa kuwa matumizi ya nguo za mitumba ni hatari sana, ambapo ni kama wiki moja hivi mwanamke mmoja nchini mexico ameripotiwa kuingiliwa na funza kwenye titi lake la upande wa kulia na kulitoboa toboa jambo ambalo linahisiwa kuwa chanzo chake ni uvaaji wa nguo za mitumba.

Hawa ndio funza walivyo litafuna titi la mwanamama huyu.

Kiukweli tunatakiwa tuwe makini sana na nguo hizi za mitumba, tunatakiwa tuzifue kwa kutumia maji ya moto ili kuuwa vimelea na madawa yaliyopuliziwa, vinginevyo tutaumia sana.

Na hii pia iwe fundisho kwa wale wote wenye kupenda kuvaa nguo za ndani za mitumba bila kuzifua kwanza. Endapo kama umesoma ujumbe huu na kuuelewa, tafadhali sambaza pia kwa marafiki zako.

 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top