Featured

    Featured Posts

Loading...

SERENGETI FIESTA 2014 NISHIDA KATIKA JIJI LA TANGA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
SERENGETI FIESTA 2014 NISHIDA KATIKA JIJI LA TANGA


Hawa ni moja kati ya mashabiki wa fiesta iliyofanyika Tanga.

Moja kati ya wasanii waliokuwepo mahari hapa siku ya fiesta Tanga, wakifanya yao.

Pichai kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah akiwa sambamba na madansa wake wakilishambulia jukwaa,mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Tanga (hawapo pichani) waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mwishoni mwa wiki.

Mmoja wa wasanii wa kundi la ngoma asili ya Baikoko toka mjini Tanga akiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Khadija Mumivu, akikonga nyoyo za mashabiki walioingia katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga  mwishoni mwa wiki.

Kwa jina la kisanii anaitwa MO MUSIC akiwakuna wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Tanga

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Rachael akionesha umahiri wake wa kucheza na kuimba mbele ya umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga (hawapo pichani ) kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki.

Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyoka mwishoni mwa wiki.

Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki.

Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ajulikanae kwa jina la Khadija Maumivu akiiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mkoani Tanga lililofanyika mwishoni mwa wiki.

Anajiita Rais wa Manzese,Madee akiwaimbisha wakazi wa jiji la Tanga waliojoitokeza kwenye tamasha la Fiesha mkoani Tanga mwishoni mwa wiki.

Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.

Sehemu ya umati mkubwa wa watu ukifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati tamasha la Fiesta 2014 likiendelea.
Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.
Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee.

Kwa jijna la Kisanii anajiita Vmoney a.k.a Vanessa Mdee akiimba kwa hisia jukwaani.
Ilikuwa ni Sheeddaah kwa wakazi wa jiji la Tanga ndani ya uwanja wa Mkwakwani mwishoni mwa wiki.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top