Featured

    Featured Posts

Loading...

MAGARI MAWILI YAGONGANA ENEO LA QUALITY CENTRE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MAGARI MAWILI YAGONGANA ENEO LA QUALITY CENTRE

Habari za ivi punde zinasema kwamba kuna ajari imetokea maeneo ya Tazara kwenye round about ya pale Mtava, karibu na jengo la Quality Cetre. Ajali iyo imeyausisha magari mawili ambayo ni jamii ya saizi ya kati.Moja ya gari ilo ni Korola, ambalo lilikuwa likitokea Tazara na kuelekea Quality Centre, na gari la pili ni aina ya Toyota mali ya kampuni ya Konyagi Tz, ambalo lilikuwa likitokea Kariakoo likielekea Tazara.

Kwa mijibu wa habari hii (mdau wa Mutalemwa Blog) amesema kwamba, ajali hii imesababishwa na uzembe wa dreva aliyekuwa akiendesha gari aina ya Korola, maana dreva mwenye kuendesha gari aina ya Toyota ndiye alikuwa kwenye Hiway, kwa maana iyo alitakiwa kupewa kipao mbele kwanza.

Magari hayo yamegongana baada ya gari dogo aina ya Korola kulazimisha kuvuka round about wakati gari aina ya Toyota likiwa linataka kunyoosha njia kwa mwendo wa kasi. Ila jambo la kumshukuru Mungu nikwamba hakuna mtu aliye umia kwenye ajali iyo. isipokuwa gari aina ya Toyota ndilo lilio pata asara ya kuvunjika kwa chupa za vinywaji aina ya Konyagi vilivyokuwa vimepakiwa kwenye gari hilo.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top