Featured

    Featured Posts

Loading...

BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAPATA AJALI MJINI ARUSHA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAPATA AJALI MJINI ARUSHA

 Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali  leo eneo la Kikatiti, Arusha.

Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokewa ajali hiyo. Abiria waliokuwemo ndani ya basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha katika ajari hiyo.


Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top