Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WEZI WA PIKIPIKI WAPIGWA MPAKA KUPOTEZA MAISHA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
WEZI WA PIKIPIKI WAPIGWA MPAKA KUPOTEZA MAISHA

Watu watatu wanadhaniwa kuwa ni wezi wamepokea kipigo mpaka kupoteza maisha yao, baada ya kujaribu kumpora kijana pikipiki aina ya Boxer maeneo ya kwa mwananyamala.

Kiukweli tabia za majaribio ya wizi wa pikipiki limezidi kushamili kwa aina yake, tunaiomba serikali itusaidie kuweza kukomesha tabia hii jamani tunao umia ni sisi madreva pamoja na mabosi zetu.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top