Featured

    Featured Posts

Loading...

IVI NDIVYO ILIVYOKUWA KILI MUSIC AWARD KIGOMA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

IVI NDIVYO ILIVYOKUWA KILI MUSIC AWARD KIGOMA

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Amini akitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mwanamuziki Christian Bella akiwaimbisha wimbo wake wa ‘Nani Kama Mama’ wakazi wa Kigoma na vitongoji vyake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Kigoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwapa burudani wakazi wa jiji la Dodoma katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
  Wadau wakifurahia burudani
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti ambaye ni mzaliwa wa Kigoma akitoa burudani nyumbani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mfalme wa muziki wa Taarabu Mzee Yusuph akitoa burudani sambamba na wacheza shoo wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule atoa burudani sambamba na mdogo wake Coriombi ambaye ni mdogo wake wa kuzaliwa nae ambaye kwa sasa amekuwa akimuandaa kuwa mrithisha wa mikoba yake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Weusi: Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Dj Choka ambaye ni Dj rasmi wa kundi la Weusi akiwajibika jukwaani.
 Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
Backstage: Profesa Jay
 Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe.
Wakazi wa mji wa Kigoma na vitongoji vyake wakiwa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Lake Tanganyika, Jumamosi Agosti 23, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top