Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WATURUKI HAWATOMSAHAU DROGBA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mshambuliaji wa Galatasaray  Didier Drogba amefanya kitendo ambacho kimezidi kumpa sifa kubwa pindi linapokuja suala la kurudisha kwa jamii.

Drogba ambaye jana alitangaza rasmi kuondoka Galatasary baada ya mkataba wake wa miezi 18, ametoa mchango wa €1 million ambazo ni zaidi ya billioni na nusu za kitanzania kwa familia za wahanga wa maafa yaliyotokea kwenye machimbo ya madini nchini Uturuki. 

Drogba na wachezaji wenzie wa Galatasary walivaa ‘helmets’ kwenye mchezo wao wa mwisho wa ligi kuonyesha sapoti juu ya tukio lilotokea machimboni, lakini muivory coast akachukua hatua nyingine ya ziada kuwasaidia wahanga wa maafa akiwa kama balozi wa Umoja wa Mataifa.

Mimi ni balozi wa U.N na nitafanya kila kitu kusaidia watu waliopata maafa kule Soma,” Drogba aliwaambia waandishi wa habari.“Lakini sihitaji mtu yoyote atumie jina langu kujipatia umaarufu kupitia janga hili, mimi sio mtu wa kujipromoti kwenye vitu kama hivi.

Tarehe 13 mwezi huu kwenye migodi ya makaa kulitokea mlipuko mkubwa  uliosababisha vifo vya watu 301.


Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 

        FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top