Ngudu msomaji, Ama kweli kipaji pamoja na ubunifu ni vitu vya msingi sana katika maisha yetu tunayoishi kila siku hapa duniani. Kijana mmoja uko nchini china, aliamua kutumia ubunifu wake pamoja na kipaji alichopewa na Mungu, ndipo na kujenga nyumba ya aina yake ambayo kikwetu tunaweza kuiita kichwa chini miguu juu.
Kwa nini nimeamua kuipa jina la namna hii yumba ya mchina huyu? Sababu ni kwamba jinsi ilivyojengwa nikwamba imepinduliwa, sehemu ya mabati ndio imeanza chini kwenye ardhi, kisha sehemu ambayo ilitakiwa kuanza chini ndio imeishilia juu.
Kijana huyo ameifanya nchi yake kuendelea kuchukua nafasi ya juu kwa nchi zenye vipaji. Nyumba iyo tangu imekamilika imetokea kuwa bonge la kivutio kikubwa sana katika eneo hilo.