Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Raia wa kichina amempiga diwani wa Bunda makofi mbele ya hakimu.
Kitendo hicho kilimuudhi diwani huyo akamua kutoka nje ya mahakama, mchina huyo hakuridhika alimfuata nje na kumwita mwizi akampa tena makofi diwani.
Polisi wakaamua kumweka ndani mchina na kufunguliwa kesi ya ushambulizi.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.
Filed Under:
MATUKIO
on Monday, April 14, 2014