Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Benki ya Nmb imekabidhi msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya milion 5 akipokea msaada huo Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi ameishukuru Nmb,misaada hii imewasilishwa na Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Ndg, Salie Mlay.
Nmb imekabidhi vifaa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali ya Mwananyamala mbele ya Meneja wa Nmb Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.