Hapa kutana na kijana machachali ambaye kwajina anaitwa Razack Juma, kijana mwenye uwezo mkubwa sana juu ya uchezaji wa mchezo huu wa draft.
Kwa uwezo alionao anaweza kucheza na mtu wa aina yeyote yule atakama ni mkubwa ama ni mdogo.
Pia kijana huyu anajiaminia sana kwa kusema mtu ambaye atakuja kumfunga kwenye mchezo huu awe kajipanga kiukweli kweli Kwa mujibu wa habari tulizo nazo nikwamba, mchezo huu nikati ya michwzo pendwa sana hapa nchini pamoja na duniani kwa ujumla wake.
Kijana Razack ni huyu aliye vaa shart yenye draft, ana sema kwamba alijifunza kucheza mchezo huu toka akiwa na umli wa miaka 10, wakati kipindi hicho akiwa anasoma darasa la tano.
Na alivutiwa sana baada ya kumuona baba yake akiwa anacheza na wenzake.



