Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Uwanja wandege wa jijini Mwanza umejaa maji kutokana na Mvua iliyonyesha siku ya juzi imesababisha mahafa makubwa sana katika maeneo tofauti tofauti hapa nchini Tanzania.
Hapa ni Mwanza airport, ambapo kama unavyo jionea mwenyewe uwanja wa ndege ukiwa umejaa maji.
Ambapo tatizo hili liliwagalimu wasafili waliokuwa wakitaka kutumia huduma hii ya ndege.
Iliwachukua abilia takribani masaa sita wakisubilia uwanja ukauke maji na waweze kuendelea na safari zao kuelekea makwao.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.
Filed Under:
MATUKIO
on Monday, April 14, 2014