Tank la mafuta lililotengenezwa na kampuni ya Superdool Trailer Manu Ltd, limevutwa na maji maeneo ya kigamboni nje kidogo ya jiji la dar.
Tank hilo lilikuwa na mafuta ya kampuni ya Mwanza Huduma, ila kutokana na ubora wa matengenezo ya matenki hayo, mafuta hayakuweza kumwagika kabisa hata kidogo.
Napenda niwapongeze sana kampuni ya Superdool kwa kutengeneza vifaa vyenye ubora wa hali ya juu kama hivi, pia natoa ushauri wangu kwa yale ma kampuni ambayo yanatengeneza vifaa ambavyo viko chini ya kiwango, nao wajitaidi kuakikisha nao wanakuwa kama Superdool company limited.