Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kampuni ya Like oil imejikuta ikimwaga mafuta baharini baada ya gari lao kusombwa na maji yaliyotokana na mvua zilizonyesha siku ya jana.
Hivi ndivyo ilivyokuwa, taarifa zilizotufikia zinasema kwamba baada ya dreva aliyekuwa akiendesha gari hilo kuona mvua imezidi sana kunyesha aliamua kupaki gari hilo kando ya barabara na kupumzika nje ya gari lake.
Baada ya mvua kuzidi zaidi ghafla aliona gari lake linaondoka na maji. Jambo ambalo lilisababisha kutikisa tank hilo na kumwaga mafuta yote.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.