Ni jambo la kusikitisha sana, ambapo utafiti wa kujua maeneo yaliyo alibiwa na mvua zinazo endelea kunyesha hapa nchini.
Hii ni moja ya ndege yenye namba 505 ambayo imejikuta ikianguka kutokana na kupatwa na hitilafu huko ikiwa angani. Ndani ilikuwa na watu wafuatao:
MAKAMU WA RAIS WA TZ, MKUU WA MKOA WA DAR, KAMANDA KOVA NA MWANDISHI WA HABARI WA TBC.
Jambo la kumshukuru Mungu hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo, ila baadhi yao wamepelekwa hospital kwa ajili ya kutibiwa pale walipo pata michubuko ya hapa na pale.