Featured

    Featured Posts

Loading...

Historia ya Pep Guardiola baada ya Bayern Munich kutwaa ubingwa.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kocha Pep Guardiola jana usiku aliandika historia akiwa na klabu ya Bayern Munich baada ya kuiongoza klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Bundesliga.

Historia aliyoandika Guardiola ni kuiongoza FC Bayern M√ľnchen kutwaa ubingwa wa 23 wa Bundesliga baada ya michezo 27 tu huku wakiwa hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye ligi – huu ndio ubingwa wa haraka zaidi katika historia ya Bundesliga.

Ubingwa huu ni wa tatu kwa Pep Guardiola katika msimu wake wa kwanza, alishinda UEFA Super Cup mwaka jana mwezi August, kisha wakashinda ubingwa wa klabu bingwa ya dunia December mwaka jana.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top