Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Benki ya Nmb imetoa mafunzo kwa wajasiriamali mbalimbali wa Dar es saam ambapo semina hiyo imehudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa Nmb Business Club kutoka wilaya za Kinondon,Ilala na Temeke.
Miongoni mwa watu walitoa mada ni pamoja na Bw. Hirji Abdallah kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ ambaye yeye alielezea kuhusu ulipaji wa kodi,wanachama wa NMB Business Club nao walipata nafasi ya kuchangia maada mbalimbali.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.