Ile ahadi ya kulekebisha barabara sasa tayari imeanza kutekelezwa, juzi ilianzishwa rasmi huko Temeke ambapo wahusika wa kutengeneza barabara hizo wanasema "kazi ni nzuri japokuwa inausumbufu wa hapa na pale kulingana na mda tunao utumia katika utendaji wa kazi yetu".
Tunalazimika kurekebisha barabara hizi nyakati za usiku kwa ajili ya kukwepa usumbufu wa magari nyakati za mchana.
Mwanzoni mwa zoezi ili tulianza kuchonga na kuweka sawa maeneo yanayo hitaji kufanyiwa marekebisho, kisha hawamu ya kusawazisha hufanyika nyakati za usiku.