Watanzania
tumekuwa na tabia ya kila kitu kuilalamikia mamlaka usika.lakini vitu
vingine ebu tujiulize,izo mamlaka tunazo zitupia izo lawama je wanafanya
mangapi ambayo hatuyasifii?
napenda
nitoe mfano mmoja wa awa akina mama ambao wanafanya biashara kando
kando ya barabara,wao wafanya biashara katika eneo husika kisha
wanaondika pasipo kupafanyia usafi.ila kesho ukifika tena katika eneo
ilo ilo,utawakuta wakiwa wanaendelea na kazi zao uku eneo ilo likiwa
nichafu,na ukuiliza utajibiwa ivi:
"watu
wa jiji/manispaa hawaji kufanya usafi katika eneo letu" je ayo
niyakweli ndugu zanguni? ebu angalieni picha apo chini mkajionee
wenyewe,ilo nieneo ambalo wakina mama uwa wanafanyia kazi kila siku ya
Mungu.na wanapata liziki mungu ana wajalia je kwanini wasilifanyie eneo
lao linalo waingizia kipato usafi?
jiji
au manispaa wameweka sehemu za kuifadhi takataka je wangapi
wanazitumia? karibu ndugu uchangie mada hii, waweza kuwa na mtazamo
tofauti juu ya yaliyo zungumzwa.