Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ULIMWENGU WA FILAMU.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Huyu ndiye producer wa movie wa kike kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa jina anafahamika au anaitwa Mwajuma Saidi.
Movie yake ya kwanza kutengeneza ilikuwa inaitwa "Hukumu ya thambi, na movie yake ya pili kutengeneza ilikuwa inaitwa The Long story (stori ndefu)".
kabla ya kuwa produce wa movie, alikuwa anafanya kazi ya  ususi wa nywere za wanawake, na mpaka sasa ametoka na movie yake mpya inayokwenda kwa jina la AWANDA.
Awanda ni movie inayo mzungumzia msichana ambaye alikuwa akimpenda mvulana ambaye kwao ni masikini.
Mwajua anamaliza kwa kutoa ushauri wake kwa wakina mama kuwa wasikate tamaa kabisa kwenye swala zima la utaftaji. Mwana mama huyu anasema kwamba wasiogope kukabiliana na majukumu ya kifamilia,
Mwisho kabisa anamaliza kwa kusema washabiki wa movie kote nchini na duniani kwa ujumla mkae tayari kuipokea movie hii mpya itakayo kwenda kwa jina la awanda, ambayo inakadiriwa kutoka kati ya siku ya alhamisi ndani ya wiki hii.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top